SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA BUNGE LA 11 MKUTANO WA 19 KIKAO CHA KWANZA JIJINI DODOMA
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha
kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma. Mkutano huo umeanza leo
Jijini Dodoma nakutegemea kumalizika tarehe 30 Juni, 2020
No comments:
Post a Comment