RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwasili katika bandari ya Malindi Zanzibar kwa ajili ya
Uzinduzi wa Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, akiongozana na Katibu Mkuu
Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Damen Shipyard
Gorinchem, Kanda ya Afrika Mr.Ronald Maat, alipowasili katika viwanja
vya Bandari ya Malindi Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Meli ya Mafuta
ya MT. Ukombozi II, hafla hiyo imefanyika leo 1-10-2019.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Kepteni Azizi na kulia Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, akiwa
katika meli ya mafuta ya MT. Ukombozi II, wakati akitembelea Meli hiyo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, wakati akitembelea Meli ya Mafuta
ya MT.Ukombozi II, kulia kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali
Maulid.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, kulia kwa Rais Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi
Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto kwa Rais Waziri wa
Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr. Sira Ubwa na Waziri wa Fedha
na Mipango Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, wakimsikiliza Msaidizi
Nahodha wa Meli ya MT.Ukombozi II Ndg. Ameir Zuberi Kombo , akitowa
maelezo wakati wa kutembelea moja meli hiyo baada ya uzinduzi wake
uliofanyika leo katika bandari ya Malindi Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein akitembelea Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II, akiwa na Katibu Mkuu
wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud
Jumbe, wakati akitembelea meli hiyo baada ya kuizindua leo katika
Bandari ya Malindi Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na
Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid, wakiwa katika
chumba cha kuongozea Meli wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi
Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe, akitowa maelezo ya
moja ya vifaa vya kuongozea meli wakati wa uzinduzi wa meli hiyo ya MT.
Ukombozi II, uliofanyika leo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein,akiwa katika chumba cha kuongozea meli katika ya MT.Ukombozi II,
kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balizi Seif Ali Iddi na
Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid na kulia Naibu
Katibu Mkuu CCM Zanzibar.Dr. Abdalla Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja. Mhe. Hassan Khatib Hassan, wakimsikiliza
Msaidizi Nahodha wa Meli ya Mafuta ya MT.Ukombozi II Ndg. Ameir Zuberi
Kombo.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment