Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Mwanza, Godwin Barongo akitoa
taarifa ya utekelezaji wa mpango wa anwani za makazi na postikodi kwa Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye waakti wa ziara
yake Wilayani humo
Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye
akisisitiza jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Sengerema, Mwanza, Godwin Barongo wakati wa ziara yake wilayani
Sengerema, Mwanza
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Silvanus Bulapilo akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (hayupo pichani) wakati wa ziara yake wilayani humo mkoani Mwanza
No comments:
Post a Comment