Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu (katikati) wakisoma ramani ya ujenzi wa
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini katika eneo la Mitengo , Mtwara
Oktoba 2, 2019. Kushoto ni Meneja wa Mradi, Godwin Maro. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini katika eneo la
Mitengo, Mtwara Oktoba 2, 2019. Kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, wa tatu kulia ni Mkuu wa
Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa na wanne kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma, Christina Mndeme. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment