Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akipokea toka kwa Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akipokea toka kwa Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Dkt. Moses Kusiluka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea baada ya Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga kumkabidhi taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimsikiliza Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga akitoa muhtasari kabla ya kukabidhi taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea toka kwa Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw.
Biswalo Mganga taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa
kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwendesha
Mashataka Mkuu wa Serikali (DPP) Bw. Biswalo Mganga baada ya kupiga naye picha ya pamoja na ujumbe wake mara baada ya kupokea taarifa
ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali kwenye
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Septemba 30, 2019. (PICHA NA IKULU).
WATUHUMIWA
467 wa kesi za Uhujumu uchumi wameandika barua kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)
wakiomba...kusamehewa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli amesema.
Amesema
hayo leo Septemba 30, 2019 Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati akipokea ripoti
ya DPP kuhusu ushauri alioutoa hivi karibuni wa kutoa msamaha kwa watuhumiwa wa
kesi za uhujumu uchumi endapo wataandika barua za kukiri na kuomba msamaha
kutokana na mamkosa wanayokabiliwa nayo mahakamani.
“Sikutegemea
kama watajitokeza watu 467 mpaka hivi sasa” Alisema Rais Magufuli.
Hata
hivyo amesema wapo wengine ambao kutokana na sababu mbalimbali wapo ambao
wameshindwa kutekeleza ushauri huo kutokana na changamoto mbalimbali na hivyo
amesema
“Response
ni kubwa sana na kama kweli wapo waliokwamishwa na wamekwama kutokana na
distance….umbali kutoka mikoani kuja hapa na wengine wamekwama kutokana na
utaratibu ndani ya magereza na umeniombanikuongezee siku tatu, na siku tatu hakuna tatizo na leo
ni Jumatatu na kesho ni Jumanne maana yake Jumatano zitakuwa zimekamilika, mimi
naona nikupe siku 7 ili usije ukaniomba tena siku zingine.” Alisema Rais
Magufuli.
Alisema
kutokana na maombi hayo jumla ya fedha shilingi bilioni 107.842 zitaokolewa na
ninauhakika watu hawa hawatarudia makosa yao mimi nafikiri niwaongezee siku 7
zaidi ya kutekeleza ushauri huo.
No comments:
Post a Comment