Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe akisisitiza
jambo katika Mkutano wake na Wasanii wa Sanaa mbalimbali kujadili mabadiliko ya
Tasnia hiyo nchini, mkutano huo ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wanachama wa Chama wa Washereheshaji (SAA) wakifuatilia Mkutano wa Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, kuhusu mabadiliko
mbalimbali Tasnia hiyo nchini, ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Msanii
wa Bongo Movie Nchini, Muhogo Mchungu akifuatilia, Mkutano wa Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, kuhusu mabadiliko mbalimbali
Tasnia hiyo nchini, ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius
Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Msanii
wa Bongo Movie Nchini, Simoni Mwapagata akifuatilia, Mkutano wa Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, kuhusu mabadiliko
mbalimbali Tasnia hiyo nchini, ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Wasanii
wa Bongo Movie, Shemsa Ford (kulia) na Jackline Wolper (kushoto) wakiteta jambo
kabla ya Mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison
Mwakyembe, na Wasanii wa Sanaa zote nchini kuanza katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, akiandika
mapendekezo anayoyasikia kuhusu mabadiliko ya Taasisi za Sanaa nchini katika
Mkutano wake na Wasanii wa Sanaa mbalimbali kujadili mabadiliko ya Tasnia hiyo
nchini, mkutano huo ulifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius
Nyerere Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment