Spika wa Bunge la Lesotho, Mhe.
Sephiri Enoch Motanyane akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar na
kupokelewa na Maafisa Itifaki wa Bunge la Tanzania kwa ajili ya
kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA),
Kanda ya Afrika utakaofanyika tarehe 30 Agosti hadi tarehe 5 Septemba
mwaka huu katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Business and Spa
No comments:
Post a Comment