Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Denmark hapa nchini Mhe. Mette
Norgaard Dissing Spandet mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Balozi wa Angola hapa nchini Mhe. Sandro Renato Agostinho De
Oliveira mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mhe. Meja Jenerali Anselem Nhamo
Sanyatwe Balozi mteule wa Zimbabwe hapa nchini Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya
Utambulisho kutoka kwa Mhe. Sanjiv Kohli Balozi wa India hapa nchini Ikulu
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment