Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi
la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo
Agosti 29, 2019
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
Uongozi, Profesa Joseph Semboja, alipowasili kuhutubia Mkutano wa sita
Jukwaa la Uongozi Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini
Dar es salaam leo Agosti 29, 2019
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Mhe. Benjamin William Mkapa na Rais Mstaafu wa Nigeria Jenerali
Olusegun baada ya kuhutubia Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi Afrika
katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti
29, 2019
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na
viongozi wastaafu katika picha ya pamoja na Sekretarieti ya Taasisi ya
Uongozi baada ya kuhutubia Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi Afrika
katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti
29, 2019
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Somalia Mhe.
Hassan Mohamed alipowasili kuhutubia Mkutano wa Sita wa Jukwaa la
Uongozi Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 29, 2019. Wanaofuatia kulia kwake ni Rais Mstaafu wa
Nigeria Jenerali Olusegun Obasanjo, Rais Mstaafu wa Tanzania wa Awamu ya
tatu Mhe. Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mhe. Thabo
Mbeki na Mfanyabiashara mashuhuri wa Tanzania Bw. Ally Mufuruki
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akijiunga na viongozi wastaafu kukiliza
majadiliano wakati wa Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi la Afrika katika
Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 29, 2019
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikaribisha chakula cha mchana na
viongozi wastaafu na na wageni wengine wakati wa mapumziko ya mchana
katika Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa
Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 29, 2019
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment