TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuujulisha
Umma wa Watanzania kuwa, Programu ya Mazingira ya Umoja wa Mataifa
(United Nations Environment Programme-UNEP) imetangaza nafasi 5 za ajira
zifuatazo:-
- Senior Administrative Officer;
- Senior Programme Management Officer;
- Chief of Section;
- Human Resource and Management;
- Deputy Chief Officer.
Wizara
inawahimiza Watanzania wenye vigezo na sifa stahiki kuomba nafasi hizi.
Kupata taarifa zaidi na taratibu za kuomba nafasi hizo tafadhali bofya HAPA
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki
Dodoma, Tanzania.
30 Agosti 2019
No comments:
Post a Comment