ALIYEWAHI
kuwa msemaji wa Wizara ya Afya na baadaye Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),
Bibi. Suzanne Malya Sambeke Omary(pichani), amefariki dunia leo asubuhi Mei 28, 2019
wakati akipatiwa matibabu kwenye hospitali ya Regency Upanga jijini Dar es
Salaam.
Kwa
mujibu wa taarifa za awali zilizotolewa na wanataaluma wenzake (Group la Habari
Tasnia III), msiba uko nyumbani kwake Mwenge jirani na Kanisa la Kakobe na
kwamba mipango ya mazishi inafanyika hapo.
No comments:
Post a Comment