Mkuu
wa mkoa wa Ruvuma, Mhe. Christina Mndeme (watatu kushoto), akikata
utepe ikiwa ni ishara ya kufungua soko la kuuzia dhahabu na madini ya
vito wilaya ya Tunduru Mkoani humo kama utekelezaji wa agiza ka Mhe.
Rais Dkt John Pombe Magufuli ambapo aliloagiza kila wilaya na mkoa
ambao una madini kufungua soko la kuuzia madini ambalo litawezesha
wauzaji na wanunuzi kuuzia madini. Wapili kushoto ni MKuu wa Wilaya ya
Namtumbo Mh.Sophia Kizigo.
Mkuu
wa mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme akiongea na baadhi ya wanunuzi
wa madini wakati wa hafla ya ufunguzi wa soko hilo.
Mkuu
wa mkoa wa Ruvuma, Mhe. Christina Mndeme (watatu kushoto), akiungana na
viongozi wengine kupiga makofi mara baada ya kukata utepe ikiwa ni
ishara ya kufungua soko la kuuzia dhahabu na madini ya vito wilaya ya
Tunduru Mkoani humo kama utekelezaji wa agiza ka Mhe. Rais Dkt John
Pombe Magufuli ambapo aliloagiza kila wilaya na mkoa ambao una madini
kufungua soko la kuuzia madini ambalo litawezesha wauzaji na wanunuzi
kuuzia madini. Wapili kushoto ni MKuu wa Wilaya ya Namtumbo Mh.Sophia
Kizigo.. (PICHA NA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUVUMA).
No comments:
Post a Comment