Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe
Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa
walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu
waliyojadiliana baina ya Serikali za nchi zote mbili.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe
Magufuli akiwa katika picha na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson
Mnangagwa pamoja na waandishi wa habari wa Zimbabwe na Tanzania mara baada ya
kuzungumza nao Ikulu ya Harare Nchini Zimbabwe.
No comments:
Post a Comment