Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa dharura wa baadhi
ya wadau wa zao la pamba aliouiitisha kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini
Mwanza, Mei 29, 2019. Katikati ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,
Mhandisi Stella Manyanya na kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari
Mgumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na
Wakurugenzi wa Maendeleo wa Wilaya zinazolima zao la pamba katika
mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba kwenye ukumbi wa
Benki Kuu jijini Mwanza, Mei 29, 2019.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza katika
mkutano aliouitisha kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Mei 29,
2019.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza katika
mkutano aliouitisha kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Mei 29,
2019.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa dharura wa baadhi
ya wadau wa zao la pamba aliouiitisha kwenye Ukumbi wa Benki Kuu jijini
Mwanza, Mei 29, 2019. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela
na kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment