NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, akisikiliza maelezo kutoka kwa
Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji kiuchumi mkoa wa Pwani, Jovita Noah,
wakati alipotembelea Banda la Wajasiriamali hao katika maonesho ya Wiki
ya Viwanda yanayoendelea katika Uwanja wa Sabasaba Picha ya Ndege
Kibaha, juzi (jana).
NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, akivishwa vazi la asili na kama
zawadi aliyopewa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji kiuchumi mkoa wa
Pwani, Jovita Noah, wakati alipotembelea Banda la Wajasiriamali hao
katika maonesho ya Wiki ya Viwanda yanayoendelea katika Uwanja wa
Sabasaba Picha ya Ndege Kibaha, juzi ( jana).
NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, akisikiliza maelezo kutoka kwa
Meneja wa Kiwanda cha kuzalizsha nguzo za umeme za zege cha East Africa
Infrastructure Engineering Ltd, Johnspeter Majura, wakati alipokuwa
akitembelea mabanda ya Maonesho ya wiki ya Viwanda, kwenye Uwanja wa
Sabasa Pichaya Ndege Kibaha, mkoa wa Pwani juzi. Kushotokwake ni Mkuuwa
Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo
NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, akisikiliza maelezo kutoka kwa
Mdhibitishaji ubora wa Kampuni ya Elven AgriCo. Ltd, Gilbert Kimaro,
kuhusu matunda yaliyokaushwa wakati alipotembelea katika banda hilo
kwenye maonesho ya wiki ya Viwanda kwenye Uwanja wa Sabasa Picha ya
Ndege, Kibaha mkoa wa Pwani juzi (jana). Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa
Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, akikagua bidhaa hiyo. Kulia ni mkuu wa
Wilaya ya Kibaha, Asumta Mshana.
NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, akisikiliza maelezo kutoka kwa
Ofisa Masoko wa Kiwanda cha kusindika Samaki cha Alpha Krust, Joyce
Mrutu, wakati akiangalia pakiti iliyojazwa samaki alipokuwa akitembelea
mabanda kwenye maonesho ya wiki ya Viwanda uwanja wa Sabasaba Picha ya
Ndege Mkoa wa Pwani, juzi (jana).
Picha na Muhidin Sufiani)
No comments:
Post a Comment