Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za utambulisho kutoka
kwa Balozi mteule wa Kenya hapa nchini Dan Kazungu Ikulu jijini Dar es
Salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi
mteule wa Kenya hapa nchini Dan Kazungu hapa nchini mara baada ya
kuwasilisha Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam leo
Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo Balozi mteule
wa Kenya hapa nchini Dan Kazungu mara baada ya kuwasilisha Hati zake za
Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam leo Julai 30, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya Picha kutoka kwa
Balozi mteule wa Kenya hapa nchini Dan Kazungu. Zawadi hiyo ya picha
imetoka kwa Mama mzazi wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Mama Ngina
Kenyatta na katika picha hiyo anaonekana Rais Dkt. Magufuli akiwa na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Mama Ngina Kenya walipokuwa
Nairobi nchini Kenya.
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment