Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mabalozi wa nchi
mbalimbali pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa maara baada
ya kuwakabidhi Hati za Viwanja vilivyopo Makao makuu ya Serikali mkoani
Dodoma kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi za Balozi pamoja na Mashirika hayo
ya kimataifa.
Balozi wa Rwanda nchini na
Kiongozi wa Mabalozi Mhe. Eugene Segore Kayihura akimshukuru Rais Dkt.
John Pombe Magufuli kwa niaba ya mabalozi na wawkilishi wa mashirika ya
kimataifa kwa kupatiwa bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini
Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu
jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Waziri wa Mambo ya Nje na
ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Augustine Mahiga akimkaribisha Rais Dkt.
John Pombe Magufuli kuongea na mabalozi na wawkilishi wa mashirika ya
kimataifa baada ya kuwapatia bila malipo hati za viwanja vya kujengea
mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete
Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa Tanzania nchini
Mhe. Thamsangqa Dennis Mseleku hati hati ya kiwanja cha kujengea mjini
Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu
jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
Balozi wa Unigereza nchini Mhe. Sarah Cooke hati ya kiwanja cha
kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa
Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa China nchini
Tanzania Mhe. Wang Ke hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma
kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar
es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa Kenya nchini
Mhe. Dan Kazungu hati ya kiwanja cha kujengea mjini Dodoma kwenye
hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam leo Julai 30, 2018
Balozi wa Kenya nchini Mhe. Dan
Kazungu akielekea kuketi baada ya kupatiwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli hati ya kiwanja cha kujengea
mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete
Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Mabalozi wa
nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya
kupatiwa bila malipo na Rais Dkt John Magufuli hati za viwanja vya
kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa
Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mabalozi wa nchi
mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kuwakabidhi
bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla
iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
leo Julai 30, 2018
Mabalozi wa nchi mbalimbali na
wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kupatiwa bila malipo na
Rais Dkt John Magufuli hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye
hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mabalozi wa nchi
mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kuwakabidhi
bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla
iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Mabalozi wa nchi mbalimbali aada ya kuwakabidhi bila malipo hati za
viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa
mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Mabalozi wadogo wa nchi mbalimbali baada ya kuwakabidhi bila malipo hati
za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi
wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Wawakilishi wa Mashirika Mbalimbali ya Kimataifa baada ya
kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye
hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam leo Julai 30, 2018
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na vingozi wa mkoa wa Dodoma baada ya kuwakabidhi mabalozi bila
malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla
iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
leo Julai 30, 2018
No comments:
Post a Comment