Pages

Monday, July 23, 2018

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KITUO CHA AFYA NANYALA, SONGWE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wakati wa ufunguzi wa kituo cha afya cha Nanyala kilichopo kata ya Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe ambacho kitahudumia wakazi zaidi ya elfu kumi. Galawa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ufunguzi wa kituo cha afya cha Nanyala kilichopo kata ya Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe ambacho kitahudumia wakazi zaidi ya elfu kumi, mwingine pichani ni mkuu wa mkoa wa Songwe Mhe. Chiku Galawa.




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa kituo cha afya cha Nanyala kilichopo kata ya Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe ambacho kitahudumia wakazi zaidi ya elfu kumi.(PICHA NA OMR)

No comments:

Post a Comment