Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na
Michezo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa
Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019,
kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri
wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Balozi Ali Abeid Karume
(katikati) akisoma muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi wa Wizara
hiyo kwa kipindi cha Julai 2017 hadi Juni 2018 katika kikao cha siku
moja cha Uongozi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Katibu Mkuu
wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee
(kulia) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Lulu Msham Abdalla(kushoto)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Omar Hassan Omar (kulia) akisoama taarifa ya utekelezaji
wa Mapngo kazi wa Mwaka 2017-2018 katika kikao Uongozi wa Wizara hiyo
kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Mshauri wa Rais masuala ya Utamaduni na Utalii Mhe.Chimbeni Kheri Chimbeni(kushoto)
Mshauri
wa Rais Masuala ya Utamaduni na Utalii Mhe.Chimbeni Kheri
Chimbeni(kulia)alipokuwa akichangia katika kikao cha Uongozi wa Wizara
ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa
Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai 2017 hadi Juni 2018 kilichofanyika
leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) akiwepo na Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na
Uchumi Mhe,Mohamed Ramia Abdiwawa.
Waziri
wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Balozi Ali Abeid Karume (wa
pili kushoto) alipokuwa akichangia katika kikao cha siku moja cha
Uongozi wa Wizara hiyo kuhusu Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2017 hadi Juni 2018 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwepo na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Lulu Msham Abdalla(kushoto),
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment