MKUU wa mkoa
Dodoma,Dk.Binilithi Mahenge amepiga marufuku waajiri wote kutoa ahadi hewa kwa wafanyakazi
wanaotangazwa kuwa wafanyakazi bora na badala yake wafanyakazi hao wanatakiwa
kupewa zawadi zao na vyeti kadri ilivyopangwa na halmashauri husika au mwajiri.

Mkuu huyo wa
mkoa alisema imekuwa desturi waajiri wamekuwa wakitafuta sifa ya kutangaza dau
kubwa au zawadi kubwa kwa wafanyakazi waliotangazwa kuwa bora lakini kinyume
chake wafanyakazi hao wamekuwa wakiambulia vyeti huku pesa hawapewi na linakuwa
deni sugu.

Dk.Mahenge
alitoa kalipio hilo baada ya wafanyakazi bora wa jiji la Dodoma pamoja na
wafanyakazi bora wa Wilaya ya Chemba kupewa vyeti tu huku wakiahidiwa kupewa
fedha baadaye badala ya kupewa fedha muda huo huo.

Akizungumza
na wafanyakazi wakati wa utoaji wa vyeti, zawadi mbalimbali pamoja na fedha
taslimu kiongozi huyo wa mkoa aliagiza mkurugenzi wa Jiji la Dodoma,Godwin
Kunambi pamoja na uongozi wa halmashauri ya Chemba kuhakikisha wanawapatia
fedha zao wale wote waliochaguliwa kuwa wafanyakazi bora na si vinginevyo.

Alisema imekuwa
tabia ya halmashauri nyngi kutangaza wafanyakazi bora na kutangaza kuwapatia
vyeti na fedha taslimu lakini hawafanyi hivyo matokeo yake wafanyakazi wamekuwa
wakizurumiwa au kupewa hundi feki jambo ambalo alisema ni kuwakatisha tamaa
wafanyakazi wanaojibidisha kufanya kazi kwa bidii.

“Haiwezekani
wewe mkurugenzi au ofisa utumishi mkaatumia vigezo vyote vya kumpata mtumishi
bora mkaandaa vyeti,lakini mkashindwa kuandaa fedha ya huyo mtumishi mnakuja
hapa mnatoa ahadi jambo hili siwezi kukubaliana nalo sasa naagiza, mkurugenzi
wa Jiji huko wapi?, hata kama hayupo naagiza wafanyakazi wote wanaotakiwa
kupatiwa fedha zao wapatiwe le oleo (jana) au kesho kabla ya saa tatu (Leo).

“Imekuwa ni
utamaduni wakuwadanganya wafanyakazi kwa kuwaandalia vyeti na kuwatajia zawadi
ambazo hawapatiwi hili jambo kwa uongozi wa awamu ya tano hauwezi kukubalika
lakini pia kwa sasa Dodoma ni makao makuu hatuwezi kufnya mambo ya aina hiyo
hilo ni jambo ambalo haliwezi kukubalika kabisa kila mtu apatiwe haki yake.

DODOMA
JIJI/MAKAO MAKUU.
JIJI/MAKAO MAKUU.
Lcha ya mkoa
wa Dodoma kupatiwa adhi ya kuwa makao makuu na manispaa kupandishwa adhi na
kuwa Jiji lakini imekuwa tofauti katika sherehe za Wafanyakazi (Mei Mosi) kwani
hapakuwepo na kiongozi yoyote wa kitaifa.

Katika sherehe
hizo zilizopambwa na maandamano mbalimbali hapakuwepo na mkurugenzi wa Jiji,
Meya wa Jiji wala waziri yoyote au Naubu waziri na hata mbunge yoyote wa jimbo
katika mkoa wa Dodoma.

RISALA YA
WAFANYAKAZI
WAFANYAKAZI
Kwa upande
wa wafanyakazi wameitaka serikali kuona uwezekano wa kupandisha mishahara kwa
watumishi ili waweze kuendana na hali ya maisha ya sasa kutokana na bidhaa
mbalimbali hususani chakula kupanda bei.

Akisoma risala
kwa niaba ya wafanyakazi Sostenes Ndish, alisema kuwa wafanyakazi wanakabiliana
na changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwa na mishahara midogo ambayo
wakati mwingine wafanyakazi wanashindwa kufikia malengo.

Jambo lingine
ambalo alilitaja ni pamoja na mafao ya wastaafu kucheleweshwa jambo ambalo
alisema seriali inatakiwa kuangalia kwa upya ili inapokaribia mtumishi kustaafu
apate fidia yake kwa wakati badala ya kukaa muda mrefu.

Katika hatua
nyingine Ndish alisema kuwa serikali inatakiwa kuwawajibisha waajiri ambao
wamekuwa na tabia ya kuchelewesha makato ya watumishi au kutolipa kabisa katika
mifuko ya jamii jambo ambalo linasababisha kuwepo kwa malalamiko kati ya mfuko,
mwajiri na mwajiliwa.

Kuhusu sekta
binafsi alisema zimekuwa na tabia ya kuwafanyisha kazi watumishi wake lakini
wamekuwa hawatoi mikataba wala ajira na kusababisha wafanyakazi wengi kutokuwa
na fedha katika mifuko ya jamii jambo ambalo ni hatari kwa utumishi wao.

MAHOJIANO.
MMOJA wa
wafanyakazi waliopatiwa zawadi kwa utumishi bara ni pamoja na Dereva wa Katibu
tawala wa Mkoa wa Dodoma Frank Malecella maarufu kwa jina la Muboss alisema
kuwa siri kubwa ya yeye kupatiwa zawadi ya ufanyakazi bora ni pamoja na kufanya kazi kwa utii pamojana kusikiliza
mkuu wake wa kaza anasema nini.

“Ili uweze
kufanya kazi vizuri ni lazima uwe na heshima kazini, kujali muda wa kazi,
kuhusu masuala ya mishahara alisema yeye anakubaliana na kiwango ambacho
kimepangwa na serikali huku akiwa na akili ya kujiongeza kwa lengo la kufanya
kazi nyngine za kumuongezea kipato” alisema.

Naye Olipa
Mwankemwa ambaye ni Ofisa rasilimali watu katika kiwanda cha machinjio ya kisasa
ya nyama kilichopo Kizota, alisema kuwa serikali inatakiwa kusimamia zaidi
changamoto ambazo wafanyakazi wanakumbana nazo.

Alisema
kwamba wafanyakazi wengi wanakabiliwa na changamoto kubwa ikiwa ni pamoja na
mishahara kiduchu,kutokuwepo na usalama wa kutosha katika sehemu za kazi huku
akisema kuwa waajiri wengi hawapeleki pesa ya makato katika mifuko ya jamii kwa
wakati.

Olipa alisema
zipo pia kampuni nyingi ambazo zimekuwa zikiwafanyisha watu kazi lakini wamekuwa
hawapo tayari kuwapatia mikataba ya kazi wala kuwapatia ajira jambo ambalo ni
ukiukwaji wa sheria za kazi.

wake Salum Mkuya ambaye ni mtumishi wa TAMISEMI ,Elimu alisema katatika sherehe za wafanyakazi Mei Mosi
kwa wale ambao wanachaguliwa kuwa wafanyakazi bora wanatakiwa kupewa vifaa
ambavyo vitawawezesha kufanya mambo ya kimaendeleo.

Alisema yafaa
watumishi hao ambao wanachaguliwa kuwa wafanyakazi bora kupatiwa vifaa kama
vile vya ujenzi au vifaa vya usafiri kulingana na zawadi ambayo muhusika
amekuwa amepangiwa badala ya kuwapatia zawadi kama tv.

Muhsin
Mulokozi ambaye ni Ofisa tarafa ya Mlali wilaya ya Kongwa alisema kuwa sherehe
za wafanyakazi ni kuwafanya wafanyakazi hao kujitambua na kujitathimini kujua
wamefanya kazi kwa kiwango gani kwa mwaka.

Hata hivyo
alisema siri kubwa ya kufanya kazi kwa mafanikio ni kuhakikisha mfanyakazi
anafanya kazi kwa malengo ya kuwahudumia wananchi pamoja na kujenga uhaminifu
kwa serikali na jamii kwa ujumla.

mwisho
No comments:
Post a Comment