Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea maandamano ya Wafanyakazi wa Serikali na Sekta Binafsi katika
sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa
Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakinyanyua mikono juu
wakati wakiimba wimbo maaluma wa mshikamano katika sherehe za Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika
ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wakinyanyua
mikono juu wakati wakiimba wimbo maaluma wa mshikamano katika sherehe
za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika
leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini
Pemba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wakiwa katika sherehe za Kilele cha
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika
ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,mgeni rasmi
alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wananchi wakiwa wamejifunika Mvua wakati walipokuwa wakiingika katika
ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba, katika
sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika leo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wafanyakazi mbali
mbali wa Serikali na Sekta Binafsi wakipita kwa maandamano mbele ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku
ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wafanyakazi mbali
mbali wa Serikali na Sekta Binafsi wakipita kwa maandamano mbele
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku
ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Vijana
wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wafanyakazi
wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wakipita kwa maandamano mbele
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku
ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wafanyakazi
wa Wizara ya Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita
kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele
cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika
ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment