Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa
Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akiongea wakati
wa kumkaribisha Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi
kabla hajashiriki kipindi cha TUJADILIANE kilicho hudhuriwa na
waandishi mbalimbali wa vyombo vya habari vya kanda ya Ziwa, Jana
1/05/2018 mkoani Mwanza
Mkurugenzi wa Idara ya
Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akishiriki
kipindi cha TUJADILIANE kinachoendeshwa na Doto Bullendu chenye lengo
la kuhamasisha maendeleo katika nchi kwa kutumia vyombo vya Habari, Jana
1/05/2018 mkoani Mwanza
Mkurugenzi wa Idara ya
Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa
Habari Tanzania (UTPC) pamoja na waandishi mbalimbali wa vyombo vya
habari vya kanda ya Ziwa, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza
Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa
Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akimueleza jambo
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.
Hassan Abbasi wakati wa ziara ya kikazi ya Dkt. Abbas, Jana 1/05/2018
mkoani Mwanza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa
Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan akimuonesha
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.
Hassan Abbasi bango lenye kuonesha majukumu ya klabu za waandishi wa
habari nchini,Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa
Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Abubakar Karsan
akikabishi Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa
Serikali Dkt. Hassan Abbasi kalenda ya chama hicho,Jana 1/05/2018 mkoani
Mwanza.
Mkurugenzi wa Idara ya
Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea
na wasomi wa Mawasiliano ya Umma wa Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT)
Mwanza kuhusu Maadili ya Uandishi wa Habari na umuhimu wa uandishi
katika kufuata weledi, Jana 1/05/2018 mkoani Mwanza.
PICHA NA IDARA YA HABARI-MAELEZO
No comments:
Post a Comment