Pages

Wednesday, May 2, 2018

WAFANYAKAZI WA SSRA WALIVYOADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI DEI) JIJINI DAR ES SALAAM


Bendi ya Magereza ikiongoza maandamano ya wafanyakazi, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva (kushoto), akiyapokea maandamano ya wafanyakazi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema na katikati ni Katibu Tawala wa Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita na bango lao mbele ya mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva (hayupo pichani), katika maandamano hayo ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini leo. 
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini leo.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakipita na tabasamu mbele ya mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva (hayupo pichani), katika maandamano ya maadhimisho ya siku hiyo ya wafanyakazi duniani.
Mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva (kushoto), akishikana mikono na baadhi ya viongozi wa Mkoa, wakati wa kuimba wimbo wa mshikamano wa wafanyakazi katika maadhimisho hayo. Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema na wa pili kushoto ni Katibu Tawala wa Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando.
Mgeni rasmi, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Phelix Lyaniva, akiwahutubia wafanyakazi mara baada ya kumalizika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Dei), Uwanja wa Uhuru jijini leo.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani.

No comments:

Post a Comment