Makasha
yakiwa na tikei za bahati kutoka kwa Mawakala wa Bidhaa zinazozalishwa
na Kiwanda cha Vinywaji Baridi cha Bonite Bottlers cha mjini
,kinachoendesha Bahati nasibu kwa wateja wake wakubwa wajulikanao kama
V.I.P Club .
Mwandishi
wa Habari wa kituo cha radio cha Kili Fm ,Mwanahamisi Jingu akizungusha
pipa lenye tiketi za bahati wakati wa droo ya kuwapata washindi
iliyofanyika katika kiwanda cha vinywaji Baridi cha Bonite Bottlers Ltd
cha mjini Moshi.
Mwandishi
wa Habari Robert Minja akizungusha pipa lenye tiketi za bahati wakati
wa droo ya kuwapata washindi iliyofanyika katika kiwanda cha vinywaji
Baridi cha Bonite Bottlers Ltd cha mjini Moshi.
Meneja
Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Vinywaji Baridi ya Bonite Bottlers Ltd
ya mjini Moshi Christopher Loiruk ,akitaja majina ya washindi katika
Droo ya kupata washindi wa Bahati nasibu kwa Wateja wakubwa wa bidhaa
zinazozalishwa na kampuni hiyo.
Zawadi
za Pikipiki 25 zilizotolewa kwa washind wa Bahati Nasibu kwa wateja
wakubwa wa bidhaa za Cocacola zinazozalishwa na Kampuni ya Bonite
Bottlers ya Mjini Moshi.
Sanduku
100 na Sanduku 50 pia zilikuwa ni miongoni mwa zawadi ambazo washindi
43 walijinyakulia baada ya kushiriki bahati Nasibu hiyo.
Washiriki
wa Bahati Nasibu kwa Wateja wakubwa wa Bidhaa jami ya Cocacola wakiwa
katika picha ya pamoja mara baada ya baadhi yao kutangazwa washindi wa
Droo iliyofanyika kiwandani hapo.
Washiriki
hao walipata pia fursa ya kutembelea maene mbalimbali ya kiwanda hicho
kujionea hatua mbalimbali za uzalishaji wa bidhaa Jamii ya Cocacola.
Uzalishaji wa Cocacola ukiendelea katika kiwanda cha vinywaji baridi cha Bonite Bottlers cha mjini Moshi .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda a Kaskazini .
WASHINDI
wa bahati nasibu kwa wateja wakubwa wa Vinywaji baridi vya jamii ya CocaCola
wamepatikana baada ya Kampuni ya Bonite Bottlers Ltd ya mkoani Kilimanjaro
kuchezesha droo ya kwanza ambapo jumla ya washindi 43 wamejinyakulia zawadi.
Miongoniwa bahati nasibu kwa wateja wakubwa wa Vinywaji baridi vya jamii ya CocaCola
wamepatikana baada ya Kampuni ya Bonite Bottlers Ltd ya mkoani Kilimanjaro
kuchezesha droo ya kwanza ambapo jumla ya washindi 43 wamejinyakulia zawadi.
mwa zawadi kubwa ambazo washindi hao wamejinyakulia ni pamoja na Pikipiki 25
,sanduku 100 na sanduku 50 kwa washindi wata
No comments:
Post a Comment