Mganga
Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Songea mkoani Ruvuma Dr,Magafu Majura
( katikati mwenye suti) akipokea mahitaji mbalimbali vyenye thamani
ya shilingi milioni 19 ikiwemo vyakula vya sikukuu ya Krimas na mwaka
mpya pamoja ,vifaa vya shule na magodoro 79 viliyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Matogoro, Manispaa ya Songea (kulia ) anayekabidhi ni Kaimu Mkuu wa kanda nyanda za juu kusini wa Vodacom , Humphrey Mutabirwa.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom wakishiriki kuwaandalia chakula watoto yatima
wanaolelewa katika kituo cha Matogoro mkoani Ruvuma wakati taasisi ya
Vodacom Tanzania Foundation ilipotoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa
watoto wanaolelewa kituoni
Kaimu
Mkuu wa kanda nyanda za juu kusini wa Vodacom , Humphrey Mutabirwa
(kulia) akiongea wakati wa hafla ya taasisi ya Vodacom Tanzania
Foundation kukabidhi msaada kwa kituo hicho
Baadhi ya mahitaji yaliyotolewa kwa kituo cha watoto yatima cha Matogoro
Kwaya ya wanafunzi ikitumbiza wakati wa hafla ya Vodacom Tanzania Foundation kukabidhi msaada
Wafanyakazi wa Vodacom na kituo cha Matogolo na wageni waalikwa wakati wa hafla hiyo
No comments:
Post a Comment