Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akiwasili na kupokelewa na Mwenyekiti wa kamati ya
kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Ndg. Sebastian Kapufi
(kulia) kabla ya kuanza kikao na kamati hiyo kilichofanyika leo ukumbi
wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia kikao cha pamoja cha
kamati hiyo walipotembelewa na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai,
katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai kwa lengo la kuangalia jinsi
kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake. katika kikao kilichofanyika
leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (wa pili kulia) akiwasiliza Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi,
Maliasili na Utalii kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo
inavyotekeleza majukumu yake katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa
Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. kulia ni katibu wa Bunge,
Ndg. Stephen kagaigai na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa kamati hiyo,
Mheshimiwa, Sebastian Kapufi
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na
Utalii katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma,
uliopo Mjini Dodoma. kushoto ni katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai
na kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa, Sebastian Kapufi.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, wakifuatilia kikao cha kamati hiyo
walipotembelewa na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai na katibu wa
Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo
inavyotekeleza majukumu yake katika kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo
kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. kushoto ni Mheshimiwa Mary
Chatanda, katikati ni Mheshimiwa Atupele Mwakibete na kulia ni
Mheshimiwa Neema Mgaya.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
kagaigai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili
na Utalii kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza
majukumu yake katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha
Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. wa tatu kulia ni Spika wa Bunge, Mheshimiwa
Job Ndugai na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa,
Sebastian Kapufi.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen
kagaigai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili
na Utalii kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza
majukumu yake katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha
Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. wa tatu kulia ni Spika wa Bunge, Mheshimiwa
Job Ndugai na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa,
Sebastian Kapufi.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment