Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa RUVUMA Dkt BILINITH SATANO MAHENGE ambaye sasa amekuwa mkuu wa mkoa wa DODOMA amemwagiza mkuu wa mkoa wa ruvuma CHRISTINA MNDEME kuhakikisha kuwa wakala wa barabara mkoa wa RUVUMA TANROAD wasiendeshe bomoa bomoa katika maeneo ya manispaa ya SONGEA kwa sababu wameshindwa kuendeleza barabara hizo na kama watafanya hivyo basi wahakikishe wanalipa pesa kwanza ndivyo wafanye zoezi hilo taarifa kamili hii hapa video yake.
No comments:
Post a Comment