Pages

Thursday, November 2, 2017

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA SHIRIKA LA HELP AGE INTERNATIONAL


 
DSC_3836
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirika la kuwahudumia Wazee Duniani “Help Age International” Bw.Arun Maura alipoongoza ujumbe aliofuatana nao ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo,
DSC_3939
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Shirika la kuwahudumia Wazee Duniani “Help Age International”  ulioongozwa na Mwenyekiti  Bw.Arun Maura (wa pili kulia) wakati  ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment