"Uongozi
na Wafanyakazi wa E-FM,TV-E kwa majonzi na masikitiko makubwa
tunatangaza kuondokewa na Mwanafamilia Mwenzetu Dennis Rupia
(Chogo),aliyefarika Dunia baada ya kuugua kwa kipindi cha muda mfupi.
Aidha
kwa taarifa zaidi tataendelea kufahamishana taratibu za kumpumzisha
mpendwa wetu kupitia vyanzo mbalimbali vya mawasiliano.
Hakika ni kipingi Kigumu kwetu,Wasikilizaji wa Redio na familia kwa ujumla tuendelee kuombea Mpendwa wetu" ,E-FM.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN
No comments:
Post a Comment