Ndege jamii ya Kasuku amenusuriwa
maisha yake nchini Singapore baada ya mmiliki wake kubaini nyoka
aliyekuwa amejizungusha kwenye tundu la ndege.
Nyoka huyo aina ya chatu mwenye
urefu wa mita 1.5 alibainika hapo jana katika nyumba ya mtu aitwaye
Melvin Yap.
Bw. Yap alifanikiwa kumnasa nyoka
huyo kwa kutumia fimbo na kumkabidhi kwa timu ya uokoaji wanyama.
No comments:
Post a Comment