Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa akipungia mkono Viongozi mbali mbali kama ishara ya kuwaaga baada ya kumalizika kwa sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 01/09/2017. |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana
na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika viwanja vya
Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini
Magharibi katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika
leo,[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.
Wananchi na Viongozi wakiwa
katika ukumbi wa mkutano wa Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya
ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika sherehe za Baraza la
Eid el Hajj lililofanyika leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani)[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.
Baadhi ya Akinamama waliohudhuria
katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo,katika
ukumbi wa mkutano wa Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya
Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani),[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein (kushoto) akiwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa katika sherehe za
Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za
Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini
Magharibi,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)[Picha na Ikulu.]
01/09/2017.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe za
Baraza la Eid EL Hajj lililofanyika katika viwanja vya Nyumba za Mji
Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini
Magharibi,[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.
Baadhi ya Wake wa Viongozi
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake
leo katika sherehe za Baraza la Eid EL Hajj lililofanyika katika
viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B”
Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.
Baadhi ya Akinamama waliohudhuria
katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe hizo
zilizofanyika katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba
Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.]
01/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa
akipokea salamu ya heshma kwa kikosi cha pilisi cha FFU mara alipowasili
katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo katika
viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B”
Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.]01/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa
akisalimiana na Wananchi na Viongozi mbali mbali baada ya kutoa hutuba
yake katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika
viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B”
Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa
akisalimiana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Viongozi mbali
mbali baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la Eid El
Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa
Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.]
01/09/2017.
No comments:
Post a Comment