Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wa kwanza kushoto pamoja na Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange mara baada ya kuzungumza kuhusu kuhusu miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam. |
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya
Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia maadhimisho
ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao
makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya
Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na
Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu
Mirisho Sarakikya wanne kutoka kushoto Jenerali Mstaafu Davis
Mwamunyange wanne kutoka kulia Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali
Mwakibolwa watatu kutoka kushoto mstari wa mbele pamoja na Wakuu wa
Kamandi na machifu wa Makao makuu ya Jeshi hilo.(PICHA NA MPIGA PICHA WETU)
No comments:
Post a Comment