Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Benedict Mashiba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi,
Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 1, 2017.
Balozi
wa Tanzania nchini Malawi Benedict Mashiba akila kiapo cha uadilifu kwa
Viongozi mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassani katika picha ya pamoja na Balozi
wa Tanzania nchini Malawi Benedict Mashiba mara baada ya tukio la
uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi wa Vietnam hapa nchini
Nguyeni Kim Doahn, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Vietnam hapa nchini Nguyeni Kim Doahn akipigiwa wimbo wa Taifa mara
baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Balozi wa Vietnam hapa nchini Nguyeni Kim Doahn mara baada
ya kumaliza mazungumzo pamoja na kupokea Hati za Utambulisho Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Indonesia hapa nchini Prof. Ratlan Pardede(katikati ) akipigiwa
wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha
Hati za Utambulisho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Indonesia hapa nchini
Prof. Ratlan Pardede, Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi wa Indonesia hapa nchini Prof. Ratlan
Pardede, Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Vatican hapa nchini
Mwadhama Askofu Mkuu Marek Solcynski, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Balozi wa Vatican hapa nchini Mwadhama Askofu Mkuu Marek
Solcynski mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini.
Balozi
wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Wachter akipigiwa wimbo wa Taifa
marabaada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kukabidhi Hati zake
Utambulisho.
Balozi
wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Wachter akijitambulisha kabla ya
kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Dkt. Detlef Wachter
mara baada ya kupokea hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi wa Uganda hapa nchini
Richard Tumisiime Kabonero Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akipiga ngoma ya Brass Bendi ya Jeshi la Polisi waliofika Ikulu kwa
ajili ya mapokezi ya Mabalozi mbalimbali kutoka nje ya nchi.
No comments:
Post a Comment