Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa
kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Mauritius nchini Tanzania Mhe. Jean
Pierre Jhumun mwenye makazi yake mjini Maputo,Msumbiji , Wawekezaji wa
ndani na nje kwenye sekta ya viwanda vya uzalishaji suksari. pichani
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara na
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw.William Erio ambapo mifuko hiyo miwili inashirikiana katika uwekezaji mkubwa kwenye mradi wa Mkulazi na Mbigiri mkoani Morogoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiagana na Balozi wa Mauritius nchini Tanzania Mhe. Jean Pierre Jhumun
mwenye makazi yake mjini Maputo,Msumbiji aliyeongozana na Wawekezaji wa
Uzalishaji Sukari ambao wameonyesha utayari wa kuwekeza nchini Tanzania.(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
No comments:
Post a Comment