Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)
akionesha Ramani ya Ujenzi wa Mji wa kisasa utakaojengwa sambamba na
ufukiaji wa Bahari ya Eneo la pwani ya Gulioni katika kikao
cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Wajumbe wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba na Uongozi wa Shirika la Nyumba katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 01 /08/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)
akionesha Ramani ya Ujenzi wa Mji wa kisasa utakaojengwa
sambamba na ufukiaji wa Bahari ya Eneo la pwani ya Gulioni
katika kikao cha siku moja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara
ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Wajumbe wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba na Uongozi wa Shirika la Nyumba katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 01 /08/2017.
Wajumbe
wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
wakati alipofanya kikao cha siku moja pamoja na Uongozi wa Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.] 01 /08/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pamoja na Wajumbe wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Shirika la Nyumba na Uongozi wa Shirika la Nyumba katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 01 /08/2017.
No comments:
Post a Comment