Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali
ya uchumi nchini leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa
Idara hiyo Sehemu ya Habari na Picha Bw. Rodney Thadeus.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) alipokuwa akiwasilisha mada
kuhusu hali ya uchumi mbele ya waandishi wa habari leo Jijiji Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu hali ya uchumi wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment