Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Fedha na Mipango,Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB na Uongozi wa ZRB katika
kikao cha siku moja kilichofanyika leo Agosti 2, 2017 katika Ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja. (PICHA NA IKULU YA
ZANZIBAR)
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB Bw.Saleh Sadik
(kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)akiwa Mwenyekiti
wa kikao cha Siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Wajumbe
wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB na Uongozi wa ZRB katika kikao cha siku moja
kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,(kulia) Mshauri wa Rais
Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe,Mohamed Ramia Abdiwawa.
Kamishna wa Mapato ZRB Nd,Amour Hamil Bakari (katikati) akichangia
wakati wa kikao cha siku moja kilichowajumuisha Wajumbe wa Bodi ya
Wakurugenzi ya ZRB na Uongozi wa ZRB na Uongozi wa Wizara ya Fedha na
Mipango,Mwenyekiti wa kikao hicho alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kilichofanyika leo
Ikulu Mjini Unguja, wengine (kulia) Naibu Kamisha wa ZRB Nd,Halima Shamte
na (kushoto) Mhasibu Mkuu wa Serikali Mwanahija Almasi Ali
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Nd,Khamis Mussa (kulia)
akitoa maelezo wakati wa kikao cha Siku moja cha Uongozi wa
Wizara ya Fedha na Mipango,Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB na Uongozi wa
ZRB katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja,mweyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kushoto) Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt.Khalis Salum Mohamed
No comments:
Post a Comment