TANZIA
Mbunge wa Hanang Bi. Mary Nagu
anasikitika kutangaza kifo cha Mume wake mpendwa Profesa Joseph Tarimo Nagu
kilichotokea 30/07/2017 katika Hospital ya Taifa Muhimbili (MNH) Dar es Salaam.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika
nyumbani kwao Endasak, Hanang siku ya Alhamis tarehe 03/08/2017, Saa Tano Asubuhi. Habari ziwafikie ndugu,
jamaa na marafiki wote waliopo Hanang, Morogoro, Dar es Salaam, Babati na wote
wanaomfahamu.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na;
Ndugu Malkias Mombo kwa simu namba:
0787241215 na 0757060107
No comments:
Post a Comment