Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapa pole wana
familia wa Marehemu Dkt. Stephen
Juma Mdachi aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya
Tumaini jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Marehemu ambaye alikuwa ni
mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kitivo cha Uhandisi katikla
idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mama Mary Mdachi, mjane wa Marehemu
Dkt. Stephen Juma Mdachi
aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini
Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Marehemu ambaye alikuwa ni
mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kitivo cha Uhandisi katikla
idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo ya msiba wa
Dkt. Stephen Juma Mdachi
aliyefariki Jumanne Agosti 1, 2017 katika hospitali ya Tumaini jijini
Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Marehemu ambaye alikuwa ni
mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Kitivo cha Uhandisi katikla
idara ya Kemia, ameacha mjane na watoto watatu.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment