Waziri
wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage, (kulia), akipeana mikono
na Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele alipotembelea banda la Mfuko
huo kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam,
kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es
Salaam, leo Julai 1, 2017.
Waziri Mwijage a,kizungumza na wafanyakazi wa PPF kwenye banda la Mfuko huo.
Waziri Mwijage akipeana mikono na Afisa Uendeshaji Mwandamizi wa PPF, Bi. Pauline Msanga
Waziri Mwijage akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda lao
Meneja
Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele, (kushoto), akitoa maelezo kwa
Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA),
Bw. Richard Kayombo alipotembela banda la Mfuko huo
Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo
Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo
Waziri
Mwijage, akiagana na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda hilo.
Kulia ni Mkuu Kitengo cha Mawasilaino ya Serikali wizara ya Fedha na
Mipango, Bw. Ben Mwaipaja.
No comments:
Post a Comment