Pages

Saturday, July 1, 2017

TIGO YAPATA TUZO YA KIPENGELE CHA MAWASILIANO KATIKA MAONESHO YA SABASABA


Rais John Magufuli akimkabidhi Tuzo ya ushindi wa kipengele cha
mawasiliano ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa sabasaba 2017 kwa
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari, jijini Dar Es
Salaam jana. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles
Mwijage. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment