Waziiri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama sampuli mbalimbali za korosho katika wakati alipotembelea
banda la Ushirika wa Ruangwa, Nachingwea Liwale Cooperative Union
(RUNALI) Limited katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika
Duniani kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Julai
30, 2017. Kushoto kwake ni Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt.
Charles Tizeba na kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
Convenant, Sabetha Mwambenja.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba
(katikati) na Naibu Waziri wa Kilimomo, Mifugo na Uvuvi, Tate William
Ole- Nasha baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
mjini Dodoma kuhutubia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya
Ushirika Duniani kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini
Dodoma Julai 30, 201
Baadhi ya washiriki wa kilele
cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani yaliyofanyika kwenye
ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Julai 30, 2017
wakiandamana
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani
kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Julai 30, 2017.
Bendi ya Jeshi la Kujenga Taifa
ikiongoza maandamano katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ushirika
Duniani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini
Dodoma Julai 30, 2017
No comments:
Post a Comment