Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akimtunuku Nishani
ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum Spika Mstaafu wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Pamdu Ameir Kificho katika hafla ya
Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika
Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (katikati) akitunuku Nishani
ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani)
Bw.Aboud Talib Aboud akitukiwa nishani katika hafla ya Sherehe Maalum
ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya
Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akitunuku Nishani ya
Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani) Dk.Msimu
Abdulrahman Hassan akitunukiwa Nishani katika hafla ya Sherehe Maalum
ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya
Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akitunuku Nishani ya
Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani)
Bi.Mastura Ali Salim akitunukiwa Nishani katika hafla ya Sherehe
Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja
vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akitunuku Nishani ya
Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi wenye Sifa Maalum (pichani) Jaji
Mkusa Issac Abraham Sepetu akipokea Nishani kwa kwa niaba Mrehemu Baba
yake Issac Abraham Sepetu katika hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku
nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein
(kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka Bw.Mohamed Fakih
Mohamed akiwa ni Mtumishi Mstaafu wa Seruikali ya Mapinduzi,pia
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikalini, katika hafla ya Sherehe
Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja
vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya
Utumishi Uliotukuka Bw.Mohamed Ahmed Mohamed akiwa ni Mtumishi
Mstaafu wa Seruikali ya Mapinduzi katika hafla ya Sherehe Maalum ya
Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika Viwanja vya Ikulu
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein
(kulia) akimtunuku Nishani ya Utumishi Uliotukuka Kanali Ali Mtumweni
Hamadi akiwa ni Mtumishi wa Idara Maalum za SMZ katika hafla ya
Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika leo katika
Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akimtunuku Nishani ya
Utumishi Uliotukuka Senior Assistance Commissioner wa Mafunzo Kadi
Sulaiman Issa akiwa ni Mtumishi Msataafu wa Idara Maalum za SMZ katika
hafla ya Sherehe Maalum ya Kutunuku nishani mbali mbali iliyofanyika
leo katika Viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (katikati) akiwa katika picha
ya pamoja na Viongozi na Wananchi mara baada ya kutunuku nishani katika
sherehe Maalum ya Kutunuku Nishani ya Mapinduzi,Nishani ya Utumishi
Uliotukukana Nishani ya Ushujaa, hafla iliyofanyika leo katika viwanja
vya Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.
No comments:
Post a Comment