Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama dawa mbalimbali za kulevya katika maonyesho yaliyokwenda
sambamba na Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za
Kulevya Duniani kwenye uwanja wa Nyerere mjini Dodoma Juni 29, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiweka jiwe la Msingi la Kituo cha Kutoa Huduma kwa Waathirika wa Dawa
za Kulevya mjini Dodoma Juni 29, 2017. Kushoto ni Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na kulia ni
Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya,
Rogers Sianga
Wasanii wa Kikundi cha Mchoyi cha Dodoma wakicheza ngoma ya kabila la Wagogo
katika Maadhimisho ya Kitaifa
ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za ulevya Duniani kwenye uwanja wa Nyerere
mjini Dodoma Juni 29, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
kuhutubia katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za
Kulevya Duniani kwenye uwanja wa Nyerere mjini Dodoma Juni 29, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipata maelezo kutoka kwa Gaudensia Simwanza wakati alipotembelea banda
la Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) katika Maadhimisho ya Kitaifa ya
Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani kwenye uwanja wa Nyerere
mjini Dodoma Juni 29, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za
Kulevya Duniani kwenye uwanja wa Nyerere mjini Dodoma Juni 29, 2017.
Balozi wa Uingereza Nchini, Sarah
Cooke akizungumza katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita
Dawa za Kulevya Duniani kwenye uwanja wa Nyerere mjini Dodoma Juni 29,
2017
Baadhi ya wananchi na Viongozi
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia katika
Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani
kwenye uwanja wa Nyerere mjini Dodoma Juni 29, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment