Hatimaye
mshambuliaji wa timu ya Barcelona Lionel Messi amefunga ndoa na mpenzi
wake wa utotoni ambaye tayari alikuwa amezaa naye watoto wawili
anayeitwa Antonella Roccuzzo huku mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi
hiyo
Pages
▼
Friday, June 30, 2017
MAMIA WAFURIKA ILI KUJIPATIA VITAMBULISHO VYA TAIFA KATIKA BANDA LA NIDA VIWANJA VYA SABASABA
Bi. Rose Mdami Mkuu wa Kitengo
cha Mawasiiano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA akiwahudumia
wateja mbalimbali waliofika katika banda la Mamlaka hiyo ili kupata
huduma ya kupatiwa vitambulisho vya taifa katika maonyesho ya Biashara
ya Kimataifa yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka
ya Vitambulisho vya Taifa NIDA wakitoa huduma kwa wananchi mbalimbali
waliofika katika banda hilo ili kupatiwa vitambulisho vya taifa leo.
Wananchi mbalimbali wakiwa
wamefurika kwenye banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya taifa NIDA katika
maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka hiyo wakiendelea na kutoa huduma katika banda hilo.
WATEJA WAMIMINIKA KWENYE BANDA LA LAPF KATIKA MAONYESHO YA TANTRADE VIWANJA VYA SABASABA BARABARA YA KIRWA JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea katika banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
Bw. Emmanuel Maishaa Afisa
Matekelezo Kanda ya Dar es Salaam akihojiwa na waandishi wa habari wa
kituo cha Luninga cha Chanel Ten waliotembelea katika banda hilo.
Bw. Juma Milinga Afisa Matekelezo
Mwandamizi LAPF akihojiwa na waandishi wa habri wa Chanel Tena ili
kuelezea mafao mbalimbali yanayotolewa na mfuko huo katika maonyesho ya
Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
Kushoto ni Simboninsia Ndosi
Afisa Mafao Mwandamizi LAPF akizungumza na waandishi wa habari
waliotembelea banda hilo kulia ni Sophia Matangalu Ofisa Mafao LAPF
wakiwa katika maonyesho hayo ili kutoa maelezo mbalimbali kwa wateja
wanaotembelea kwenye banda hilo.
Afisa Matekelezo LAPF Bi. Agness
William akitoa maelezo kwa wateja mbalimbali wanaotembelea katika banda
hilo wakati huu wa maonyesho ya sabasaba kwenye viwanja vya TANTRADE
Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
Bw. John Mwita Afisa Matekelezo Kanda ya Dar es salaam akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea katika banda hilo.
Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano LAPF Bi. Rehema Mkamba akijadiliana jambo na Agness William Afisa Matekelezo.
Baadhi ya wateja wakipata maelezo
mbalimbali wakati walipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya
Sabasaba yanayofanyika Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa LAPF
Bi. Agnes William akihijiwa na Hajra Kondo mwandishi wa kituo cha
Televisheni cha TV 1 wakati waandishi hao walipotembelea katika banda
hilo.
WATEJA WA TIGO KUFURAHIA MAWASILIANO YA BURE KWA MWAKA MZIMA
Meneja wa Mawasiliano Tigo, Woinde Shisael akielezea jambo wakati wa uzinduzi wa J’aza Ujazwe Ujaziwe zaidi’ jijini Dar Es Salaam leo |
Waandishi wa habari wakichukua matukio wakati wa mkutano huo mapema leo.
………………………………………………………………….
Kampuni
inayoongoza maisha ya kidigitali, Tigo Tanzania, leo Tarehe 30Juni
2017, imezindua
RC KILIMANJARO, MHE. ANNA NGWIRA, AIPONGEZA PSPF KWA KUENDESHA MAFUNZO KW WASTAAFU WATARAJIWA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira,
(kulia), akipokea kadi ya uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kupitia
mpango wa hiari, (PSS), kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu,
wakati wa semina ya wastaafu watarajiwa mkoani Kilimanjaro Juni 30, 2017.
Bw. Mayingu akitoa hotuba yake
Mhe. Anna Ngwira, Mkuu wa Mkaow a Kilimanjaro, akionyesha kadi yake ya uanachama wa PSPF kupitia mpango wa PSS
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira,akiagana
na wanachama wasitaafu watarajiwa,wa mfuko wa pesheni wa PSPF,mara baada ya
kufungua semina hiyo Mkoa wa Kilimanjaro Juni 30, 2017
Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PSPF |
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo
Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro