Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea katika banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayofanyika kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
Bw. Emmanuel Maishaa Afisa
Matekelezo Kanda ya Dar es Salaam akihojiwa na waandishi wa habari wa
kituo cha Luninga cha Chanel Ten waliotembelea katika banda hilo.
Bw. Juma Milinga Afisa Matekelezo
Mwandamizi LAPF akihojiwa na waandishi wa habri wa Chanel Tena ili
kuelezea mafao mbalimbali yanayotolewa na mfuko huo katika maonyesho ya
Sabasaba barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
Kushoto ni Simboninsia Ndosi
Afisa Mafao Mwandamizi LAPF akizungumza na waandishi wa habari
waliotembelea banda hilo kulia ni Sophia Matangalu Ofisa Mafao LAPF
wakiwa katika maonyesho hayo ili kutoa maelezo mbalimbali kwa wateja
wanaotembelea kwenye banda hilo.
Afisa Matekelezo LAPF Bi. Agness
William akitoa maelezo kwa wateja mbalimbali wanaotembelea katika banda
hilo wakati huu wa maonyesho ya sabasaba kwenye viwanja vya TANTRADE
Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam.
Bw. John Mwita Afisa Matekelezo Kanda ya Dar es salaam akitoa maelezo kwa baadhi ya wateja waliotembelea katika banda hilo.
Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano LAPF Bi. Rehema Mkamba akijadiliana jambo na Agness William Afisa Matekelezo.
Baadhi ya wateja wakipata maelezo
mbalimbali wakati walipotembelea banda la LAPF katika maonyesho ya
Sabasaba yanayofanyika Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa LAPF
Bi. Agnes William akihijiwa na Hajra Kondo mwandishi wa kituo cha
Televisheni cha TV 1 wakati waandishi hao walipotembelea katika banda
hilo.
No comments:
Post a Comment