Mkuu
wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Bibi Salama Mbarouk Khatib, akiwa
pamoja na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais na Watendaji
wengine, wakiangalia maafa yaliosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea
kunyesha hukoa katika Kijiji cha Kipapo Shehia ya Chonga.
Mkuu wa
Wilaya ya Chake Chake Pemba, Bibi Salama Mbarouk Khatib, akiwa pamoja na
Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais na Watendaji wengine,
wakiangalia maafa yaliosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea
kunyesha hukoa katika Kijiji cha Kipapo Shehia ya Chonga.
Baadhi ya
vitu mbali mbali vikiwa vimewekwa pahala pamoja baada ya Nyumba kuingia
maji huko katika kijiji cha Kipapo , Shehia ya Chonga kufuatia mvua
kubwa inayoendelea kunyesha Kisiwani Pemba.
Daraja
lililokatika kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha
Nyumba zaidi ya 13 kuathirika na nyengine kuanguka.
Msaidizi
wa makamo wa pili wa Rais Pemba, Amran Massoud Amran, akionyesha Daraja
lilivyoathirika na mvua hiyo na kusababisha gari zinazotoka Mgelema
kwenda Chake Chake kusitisha safari yake hapo.kunyesha hukoa katika Kijiji cha Kipapo Shehia ya Chonga.
Mkuu
wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, akikaguwa baadhi ya maeneo yaliothirika
na mvua huko katika kijiji cha Kipapo shehia ya Chonga Pemba.
Picha na Marzouk Khamis -Maelezo -Pemba. Kwa hisani ya ZanziNews
No comments:
Post a Comment