Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya
Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Duniani Mtukufu Mahant Swami Maharaj
mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kiongozi huyo
Mkuu wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant
Swami Maharaj mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa Dua na kiongozi huyo wa
Jumuiya ya Kihindu Duniani Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant
Swami Maharaj aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake kiongozi huyo
Mkuu wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant
Swami Maharaj mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada
ya kumaliza mazungumzo yake na kiongozi huyo wa Jumuiya ya Kihindu
Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kiongozi huyo Mkuu Duniani
kutoka Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant
Swami Maharaj Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kiongozi huyo Mkuu Duniani
kutoka Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant
Swami Maharaj Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment