Katibu
wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile
akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuia hiyo kutoka katika Kata
mbalimbali za wilaya ya Ilala, alipokutana nao katika kikao maalum cha
kujitambulisha kwao, kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM wilaya
ya Ilala. Kulia ni Katibu wa Jumuia hiyo wilaya ya Ilala, Lugano
Mwafongo. Akizungumza kwenye kikao hicho, pamoja na mambo mbalimbali
Mkandawile ameitaka Jumuia ya Wazazi katika mkoa wake na maeneo mengine
nchini, kuunga mkono hatua ya serikali kuingia katika mapambano dhidi ya
dawa za kulevya.
Mkandawile amesema, Kama sehemu ya Wanana CCM, Jumuia hiyo haiba budi kuunga mkono mabambano hayo kwa kuwa Serikali inatekeleza ilani ya CCM, ibaraya 118 hadi 119.
Mkandawile amesema, Kama sehemu ya Wanana CCM, Jumuia hiyo haiba budi kuunga mkono mabambano hayo kwa kuwa Serikali inatekeleza ilani ya CCM, ibaraya 118 hadi 119.
Katibu
wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile akiwasili
ukumbini. Kushoto ni Katibu wa Jumuia hiyo wilaya ya Ilala, Lugano
Mwafongo na kulia ni Katibu wa Jimbo la Ilala Christopher Lugemalila.
Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbe wakishangilia jambo ukumbini
Katibu
wa CCM Jimbo la Ilala, Said Dogo akitoa maneno ya utangulizi kabla ya
kikao kuanza. Kulia ni Mkandawile na Lugano Mwafongo
Wajumbe ukumbini wakifuatilia mazungumzo katika kikao hicho.
Mjumbe akiwa kwenye kikao hicho cha Jumuia ya Wazazi huku akiendelea na malezi ya mwanae ukumbini
Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Ilala Christopher Lugemalila akizungumza wakati wa kikao hicho
Katibu wa Jumuia ya Wazazi wilaya ya Ilala, akizungumza wakati wa kikao hicho
Katibu
wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile
akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuia hiyo kutoka katika Kata
mbalimbali za wilaya ya Ilala, alipokutana nao katika kikao maalum cha
kujitambulisha kwao, kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM wilaya
ya Ilala.
Wajumbe wakimsikiliza Mkandawile
Wajumbe wakimsikiliza Mkandawile wakati akizungumza na watendaji na viongozi wa Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Ilala.
Picha zote na Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment