Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Salama Mbarouk Khatibu akiwa katika moja ya majukumu yake walayani Chakechake.
……………………………………………………………………………………..
Na Masanja Mabula -Pemba ..
Mkuu
wa Wilaya ya Chake Chake Salama Mbarouk Khatibu amewataka watendaji wa
Serekali kubadilike katika utendaji wao wa kazi ili waweza kufanya
kazi kwa ufanisi zaidi na kila mmoja atekeleze majukumu yake ipasavyo
ya kazi na kuacha tabia ya kufanya kazi kwa mazoea.
Kauli hiyo ameitowa wakati alipokuwa akizungumza na watendaji wa serekali mara baada ya kumaliza kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za kusherehekea miaka 53 ya mapindunzi ya Zanzibar huko katika uwanja wa tensi chake chake.
Amesema kuwa lengo la kufanya usafi ni kuweka mazingira bora katika Maosini hivyo ni vyema wafanyakazi wanapohitajika kuonesha ushirikiano wao katika kutekeleza majukumu hayo.
Mkuu huyo wa wilaya amewataka watendaji wa Serekali kuelewa kwamba mapindunzi ya mwaka 1964 ndio yaliyofanikisha uwepo wa wananchi kutokana na hekma za wazee waliokwisha tangulia hivyo ni vyema kuyathamini na kuyaenzi matunda hayo ya Mapindunzi na kuendelea kudumisha amani na utulivu ndani ya nchi .
Kwa upande wake Afisa Mdhamini ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Ali Salum Matta amesema kuwa sherehe za Mapindunzi zinalenga zaidi uzinduzi wa miradi mbali mbali ya maendeleo hivyo Serekali imejipanga kwa ajili ya kutekeleza miradi hiyo kwa nia ya kuwaletea maendeleo wananchi wake .
Aidha amewataka watendaji wa Serekali kushiriki kikamilifu katika sherehe hizo za uzindunzi wa miradi mbalimbali ya kijamii ambayo itafunguliwa , kukaguliwa na kuwekewa mawe ya msingi wakati wa sherehe hizo .

No comments:
Post a Comment